Thursday 6 March 2025 - 09:11
Usiache wajibu hizi mbili kubwa za Mwenyezi Mungu

Kwa hakika kuamrisha mema na kukataza maovu ni faradhi mbili kubwa, kwazo faradhi husimamishwa.

Shirika la Habari la Hawza - Imamu Baqir (a.s) amesema:

«إِنَّ الْأَمْرَ بِالْمَعْرُوفِ وَ النَّهْيَ عَنِ الْمُنْكَرِ فَرِيضَةٌ عَظِيمَةٌ بِهَا تُقَامُ الْفَرَائِضُ ... وَ تَأْمَنُ الْمَذَاهِبُ وَ تَحِلُّ الْمَكَاسِبُ وَ تُرَدُّ الْمَظَالِمُ وَ تُعْمَرُ الْأَرْض.»

Kwa hakika kuamrisha mema na kukataza maovu ni faradhi mbili kubwa, kwazo faradhi husimamishwa…kwazo amani hupatikana njiani na chumo na kazi za watu huwa halali. Kwa faradhi hizi mbili kilio cha waliodhulumiwa husikilizwa na ardhi hutengenezwa. (huboreshwa).

Wasail al-Shia, Jz 16, uk 119

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha